#top2017
This Video was Shot by Kenny Under Zoom production Dar es salaam Tanzania. For the booking and more info contact us through zoomproduction@gmail.com +255652499979
Pre Order A BOY FROM TANDALE on iTunes : https://itunes.apple.com/ug/album/a-b…
Hii ni muziki kweli…I just love it…I can't stop ….
Zari should listen to this several time ..
Lyrics
Wanasemaga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
Niliposikiaga habari
Yakisifika nikakesha nangojea
Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea
Ile pruuu mpaka macca
Nikadandiaga bongo movie
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Ni kama tango natia tu chumyi
Mwenzenu nikaoza haswa
Na kujitia kitandani mjuzi
Eti nataka fukuza paka
Badala ya mbwa nikafuga mbuzi, hhhmmm
Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki
Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi
Ila nang'ang'ania
Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
Ooh mbona sikomi
Sikomi
Sikomi
Licha ya mateso haya
Najiuliza (oh sikomi)
Oh sikomi mbona (sikomi)
Mbona jamani
Sikomi
Licha ya mateso haya, hhhmmm
Aliyonifanyia wa central
Haki ya mungu siyawezi sema
Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema
Moyo walinipatia mateso
Siwezi kumeza siwezi tema
Ndio maana sikushanga ile ghafla
Toka ccm kwenda chadema
Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie
Nikajitia ukamanda yatakwisha
Wacha nivumilie
Kila kiza kikitanda
Ndo visa machozi me nilie
Penzi yakatia parapanda
Kuwaita waje washambulie
Acha na penny we darling
Nilio muhongaga gari
Aliponambia ana mimba
Mwisho wa siku akaichomoa chali
Mola akanitunuku zari
Akanzalia dume na mwali
Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka
Kwa vyombo vya habari
Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Lizer ananiambia simba mapenzi basi
Ila nang'ang'ania
Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
Ooh mbona sikomi (mbona)
Sikomi (mbona jamani)
Sikomi
Licha ya mateso haya
Eh nishafumania (oh sikomi)
Nikafumaniwa mimi (sikomi)
Nishagombana na watu (sikomi)
Licha ya mateso haya (mateso haya)
You the best
kama unaMkubali DIAMOND LIKE THEN SUBSCRIBE NGWENJETV
Such beautiful voice it would be most beautiful if that voice would be used to recite Qur aan!😔😔
don't understand what he says but I like it anyways…
I realy like it,
Oh my God ilove my music diamond I'm Haitian ilove you my musuc
vraiment diamond tu as touché mon coeur
pole sana daimond usijali tuta fanya collabo
ohhh this. song just melt my heart mani
wanasemanga mapenzi safari
They say love is a journey
Unavyopita ndo jinsi unajongea
the more you move the closer you get (to real love)
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
Though where am going am not sure I will reach as I am walking a far distance.
niliposikia gabari
When I heard the praises
yakisifika nikakesha nangojea ah
When I started as a musician I used to stay up all night waiting to hear the publics response
Akabariki jalali na nikawika muziki
Bt then God blessed me and I blew
Nikautea
Ile pruuu mpaka Macca, Nikadandiaga Bongo movie,
While still in my pilgrimage (not yet 'arrived' as a musician), I hoped to (someday fall in love with) a 'movie artist'
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Bt little did I know Love requires patience
Nikama tango natia tu chumyi
Its (love) like an unripe fruit, I impatiently kept adding salt
Mwenzenu nikaoza haswa
Evidently, I became rotten
na kuitia kitandani mjuzi
I convinced myself I was experienced and knowledgable in bed
Eti nataka fukuza paka Badala ya mbwa nikafuga mbuzi
I wanted to chase the cat, instead of a dog I reared a goat
mmh wivu ukanifanya nikagomban na marafiki
Bt then jealousy made me fight with my friends
ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki
Quarreling and beefing with my mother, not listening to her advice.
Bridge
Moyo ukanambia Naseeb sasa mapenzi basi
My heart kept telling me keep enough with the loving
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Bt I can’t stop, I keep messing with my concience
Esma ananambia mdogo wangu mapenzi basi
Esma (his sister) tells me, my young brother, it's enough with love issues,
Ila nang'ang'ania
But I fight can't stop,
nikiumizwa na huyu kesho mwingine
Today I'm hurt by one lover, tomorrow by another
{cHORUS} *2
Ooh mboni sikomo sikomi sikomi
Oh bt why can’t I stop
Licha ya mateso haya Najiuliza oh sikomi
Despite the pain I can’t seem to stop
{Verse 2}
Aliyonifanyia wa central, Akia-mungu siyawezi sema
What the girl from central did to me,
Only God knows coz I can’t bring myself to speak of it
Ila nimejifunza kesho siwaamini sinema
But I've learnt my lesson to never trust movie actresses
Moyo walinipatia mateso
They broke my heart and brought upon pain and suffering
Siwezi kumeza siwezi tema
I can’t swallow (eat)nor spit (vomit)
mana sikushanga ile ghafla toka ccm kwenda chadema
Hence,I wasn’t shocked when she suddenly
Left CCM TO CHADEMA (political parties in TZ)
wanasema kitanda ukitandika sharti ukikalie
They say he who makes his bed must lie on it (Swahili Proverb)
nikajitia ukamanda yatakwisha
So I told myself that it will all come to pass
wacha nivumilie kilakiza kikitandando visa machozi mi nilie
let me endure, But each night I cried myself to sleep
Penzi yakatia parapanda
'Love' became the trumpet calling others to come mock me
Kuwaita waje washambulie, aah acha na penny we darling
Let me not talk about Penny (another former Girlfriend)
nilomuhongaga gari aliponambia ana mimba
Whom I gifted a car when she told me she was pregnant
mwisho wa siku akaichomoa chali
Yet went ahead and aborted my kid
Molah akanitunuku Zari
Bt God gave me Zari (wife)
Akanizalia dume na mwali
Together he blessed us with a son and daughter
Nilivomjinga nika-cheat
As stupid as I was I cheated
aibu mpaka Kwa vyombo vya habari
Causing a scandal all over the media
Bridge
Moyo unanambia Naseeb sasa mapenzi basi
My heart kept telling me keep enough with the loving
Ila nag'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
But I keep fighting with my conscience.
Laizer ananambia simba mapenzi basi
Laizer (my producer) keeps telling me,
Simba (Diamond's nickname) it's enough with love
Ila nang'ang ania, nikiumizwa na huyu kesho na mwingine
Though I keep fighting
Today I'm hurt by one lover, tomorrow by another
{Chorus}
Nishafumaniwa oh sikomi
I've walked on people cheating on me,
Nikafumaniwa mimi(Sikomi)
Now I've been found cheating
Nishapambana na watu (Sikomi)
Heard my fair share bt why can’t I stop
Licha ya mateso haya ah
Even with the pain and suffering that comes off it
{Outro}
Mateso mama- The struggle mama
Ayo Laizer
Thumps up diamond
your song is so good
Keep it up more to be international musician
255765360430
Bado unampenda wema … nyimbo zako nyingi mpaka utoe mfano wa wema
Am your biggest fan bbe
Amaizing song Diamond ….i love it, a good voice, a nice messege for realy you touch my heart….move on😍😍😍😍
Simbaaaa
Love from Gabon 😍😍😍
pambana bwana mdogo
Diamond unajua aisee.YNWA
Sikomi kureplay
NY,wa miteg
Ndo rahaa ya kutokua na team maana kikitoka kizuri cha upande huu unajiriwaza nacho na kikitoka kizuri cha upande ule unakitafuna yaani full rahaaaa maana hao wote ni wasanii wangu wa ndani ya Tanzania yangu sasa kwann nimbgue mtu?
Ebitoke
Nice songe
Nice video
hili goma noma
Big up diamond q
fatima
thanks
Woyo Lovely song diamond
nice work
Wow this song is nice
best music
zarii
Oh my! How I wish to have this song translated to English. Love it. Oh ..the passion he sings with❤
I wish I would know one word omg ,enjoying from ug
I love diamond platinumz
So, no matter how much Diamond got played by love he chose to seek it and never give up trying even when was sure that he would give up. He was led blind by love but still chose to follow it. That’s why the hook is perfect for this song, the verses are perfect for this song and the production is perfect for this song.
Watching from Kenya.Nairobi. Creative bro.